Search found 4 matches

by robot
Wed Sep 13, 2017 2:04 pm
Forum: Your first forum
Topic: DC KILOLO AWATAKA WAZAZI KUWASOMESHA WATOTO WAO
Replies: 0
Views: 1656

DC KILOLO AWATAKA WAZAZI KUWASOMESHA WATOTO WAO

Wanachi wa kijiji cha mwatasi wamekuwa kikwazo cha wanafunzi kufanya vizuri katika masomo ya shule ya msingi kutokana na wazazi kutowatimizia mahitaji muhimu watoto wao pindi waendepo shule. Akizungumza na waandishi wa habari waliofika katika shule hiyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi mwatasi Seth M...
by robot
Thu Sep 07, 2017 10:57 am
Forum: Your first forum
Topic: Waziri wa TAMISEMI George Simbachawe na Naibu Waziri wa Ujenzi Edwin Ngonyani, Wamejiuzulu
Replies: 0
Views: 1199

Waziri wa TAMISEMI George Simbachawe na Naibu Waziri wa Ujenzi Edwin Ngonyani, Wamejiuzulu

Waziri wa TAMISEMI George Simbachawene ametangaza kujiuzulu nafasi yake kutokana na kutajwa kwenye ripoti za uchunguzi wa tanzanite na almasi. Akiwasilisha ripoti yake kwa Waziri Mkuu Bungeni Dodoma, Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Bunge iliyoundwa kuchunguza biashara ya madini ya tanzanite, Dotto B...
by robot
Thu Sep 07, 2017 10:49 am
Forum: Your first forum
Topic: c Mshama aagiza Wakurugenzi kuhakikisha wanafuatilia watumishi wa afya waliojiriwa na mfuko wa PEPFAR kupitia THPS mkoan
Replies: 0
Views: 980

c Mshama aagiza Wakurugenzi kuhakikisha wanafuatilia watumishi wa afya waliojiriwa na mfuko wa PEPFAR kupitia THPS mkoan

Wakurugenzi wameagizwa kuhakikisha wanafuatilia watumishi wa afya waliojiriwa kwa ufadhili wa mfuko wa dharura wa rais wa marekani ( PEPFAR) kupitia THPS katika vituo mbalimbali mkoani Pwani wanalipwa mishahara yao kwa wakati. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama alipok...
by robot
Wed Aug 16, 2017 6:55 pm
Forum: Your first forum
Topic: UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI: MRADI WENYE FURSA KEDEKEDE WATANZANIA WANAPASWA KUZICHANGAMKIA
Replies: 0
Views: 988

UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI: MRADI WENYE FURSA KEDEKEDE WATANZANIA WANAPASWA KUZICHANGAMKIA

Hivi Karibuni, Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kwa pamoja waliweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga Tanzania. Katika Makala hii pamoja na mambo mengine Mwandishi Said Ameir wa Idara ya Habari- ...